Slide

Thursday, November 26, 2009

WEDDING HAIR STYLES



NIGERIAN TRADITIONAL WEDDING


MDAU MUHIMU WA ANGOLA

KILEMBA


  • Huu ndio ufungaji bora wa kilemba wala hakining'ini nyuma wala mbele wafunga vilemba mpo hapo???,mmeonaaaa

STYLE MPYA YA NYWELE KWA MWAKA 2009


  • Hii ni style inayopatikana nchini Nigeria na ni style mpya kabisa....Tanzania tutaweza hapa???

AHSANTE SANA..

  • Mie na Aunt tukifungua mizinga ya sherehe.....

MAMA MDOGO HUYOOO....


Mama CJ.

PAKANJAA,PAKANJAA.


Kucheza ni muhimu kwa kila mtu hebu angalia wadau wakionyeshana ujuzi wa aina yake,kila mtu hakuwa nyuma kumwonyesha mwenzie ni kiasi gani amefuzu....

RIHANNA WITH CURLZ


Rihanna na curls zimetulia...

"WADAU MUHIMU WA USA.....


.....Joan D thank u for ur support....

MY SIS MDAU WA MALAYSIA


....Mie cheko lako tu dada...,

WIFI 4 LYF


..Wifi langu na ni mdau mkubwa wa Ujerumani...her name is Franz......

RONELYNA NIKIFUNGUA CHAMPAGNE


.......Kama unahitaji kufunguliwa champagne nitwangie mail tu kwa wapendwa 2.....haaaaaa!

WADAU WAKIPITA KWENYE RED CARPET NA MIE SIKUWA NYUMA HATA KIDOGO....



Jamani na mie nimo na wadau tukifurahi kwa mdau wetu kuoa......

WIFI LANGU KWENYE HARUSI YA MDAU........


Cheko lako tu my wifi ,luv u....