Slide

Wednesday, January 26, 2011

PICHA ZA MCHEZAJI MPIRA WA CHELSEA MICHAEL ESSIEN NA MKEWE NADIA BUARI...


NADIA BUARI.

Huyu ndiye mwanadada  mcheza filamu maarufu kutoka Ghana Nadia Buari au Mrs.Michael Essien ndiye aliyeuteka moyo wa mchezaji huyo maarufu siye twawapongeza kwa hatua hiyo nzuri Mungu iibariki ndoa yenu kila la kheri......

Mchekeshaji Jim Carey ajiopelea Msichana wa Kihindi.......

Mchekeshaji wa kimarekani Jim Carey inasemekana ameamua kujiopolea goma la kihindi,ambaye ni model aitwaye Aanchal Joseph ambaye ana miaka 24 nusu ya miaka ya Jim.
Aanchal alizaliwa India,Delhi na alipokuwa na umri wa miaka 6 alihamia nchini USA na wazazi wake.Na pia alikuwa ni mshiriki katika show ambayo ni maarufu sana ya ‘America’s Next Top Model’ in 2007.

Jim Carrey.1 Jim Carreys dating Indian model


 

Kim Kardashian and Friend in Tight Dresses

kim kardashian cleavage

Halle Berry has a New Boyfriend.........

halle berry new boyfriend
Halle Berry doesn’t waste time beating around the bushes and moping over dumped super models. Just a few months after her break up with the father of her daughter, Berry is banging a nude dude: French actor Oliver Martinez, picture above while coming back from a trip to the grocery store with the beautiful black-American actress.
According to People Magazine, Halle Berry and Oliver Martinez were apart for a week, and their re-encounter was very emotional. He showed up with a bandaged arm, and her, to make him feel better, took him to French art gallery Marcelita L’Art et Le Thé in West Hollywood. After that, they went back to Halle’s place, where you can imagine what else they did.

NIMERUDI TENA WAPENZI WANGU....

Baada ya kimya kingi hatimaye nimerudi tena katika ulingo huu wa kupeana habari mbalimbali,wadau mnisamehe kwa kukaa kimya kwa muda mrefu ila nataka mjue kuwa mwaka huu utakuwa na habari nyingi na motomoto,nilikuwa nakula Christmass na mwaka mpya kwanza na pia nilikuwa napiga kitabu zaidi lakini sasa nimerudi tena....