Slide

Friday, November 27, 2009

TIGER WOODS IN A CAR CRASH


  • Mcheza golf namba moja duniani TIGER WOODS kutoka nchini Marekani,leo amepata ajali ya gari katika community ya ISLEWORTH karibu kabisa na nyumbani kwake katika mji wa WINDERMERE,FLORIDA aligonga mti, alikimbizwa hospital lakini kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mayor wa WINDERMERE, Tiger mwenye miaka 33 ameruhusiwa kurudi nyumbani,WE ARE PRAYING FOR QUICK RECOVER FOR HIM.....POLE.

WEDDING SHOES


  • Viatu hivi ni maalum kwa harusi,viatu vya harusi mara nyingi vyafaa viwe vyeupe.
  • Chagua kiatu ambacho kinakutosha sawasawa, na kiatu ambacho hakitakuchosha hasa kwa mabibi harusi.Maana ukivaa kiatu kirefu utachoka haraka na utakosa raha katika siku hii muhimu kwako..
  • Waweza kuchagua design yeyote ya kiatu kutokana na upendeleo wako ila tu kiwe kwenye style haijalishi ni kirefu au kifupi itatokana na uchaguzi wa mtu mwenyewe.
  • Mara sherehe itakapoisha hifadhi kwenye mfuko maalum ambao hautaingiza joto ili kuvilinda na kuharibika au unaweza ukahifadhi mahali pasipo na vumbi au joto kali.

MENS HAIR STYLES


ZAWADI


MWANIONAJE????



Siko nyuma kabisa katika kufungua champagne hapa ni katika harusi ya moja ya wadau wa blog hii iliyofanyika katika ukumbi wa NEXT DOOR

TUFURAHI KWA PAMOJA WAJAMENI


  • Jamani twiga nibebe niione ijumaa kabla yako mwenzio mfupi sioni...hahaaaa!horiaaa!

ANNOUNCEMENT


  • SALON KUBWA YA KIKE NA KIUME YA THE BEST OF U FASHION KARIBU ITAFUNGULIWA IKIWA TAYARI NITAWAJUZA KILA KITU KUHUSIANA NA SALON HII,ITAKUWA WAPI NA KILA KITU VYOTE NITAWAJULISHA.....WAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA SIMU 0712-950432.