Slide

Monday, November 30, 2009

VIVAZI VINGINE JAMANE......


JE MARIAH CAREY NI MJAMZITO?


Maria Carey na mumewe Nick Canon,kuna tetesi kuwa Mariah ni mjamzito lakini ukweli ni wa wawili hao...mie sijui wenzangu mmh.....

MOVEMENT OF GOD'S PEOPLE

Waimbaji wa  muziki wa injili {gospel }kutoka USA wakiwa kwenye picha ya pamoja.....

One of my friends....

Mtangazaji  wa TBC 1 Benny Kinyaiya akiwa katika pozi..Ahsante saaanaaa.