Slide

Friday, April 15, 2011

Happy Birthday Lyna...

Jamani nashukuru Mungu kwa kunipa nafasi nyingine tena hapa duniani ya kuishi 15 mwezi 4 ni siku ambayo mimi nilizaliwa na ninamshukuru Mungu kwa kunipa wazazi wazuri ambao wamenielea mpaka nimefika hapa nilipo,ahsanteni wadau wangu woooote mlionitumia salamu za birthday picha za party ilivyokua nitaziweka zikiwa tayari.Nawapenda wadau wangu.


Zawadi na msg nimetumiwa na mdau wangu kutoka Naija Ahsante Igweee!!!


Myspace Birthday Quotes comments



Ahsanteni wooooooote!!!Flyin Kisses