Slide

Sunday, December 19, 2010

Shelton Benjamin in Nigeria ......

Bingwa wa WWE Shelton Benjamin amewasili Nigeria tayari kwa pambano lake na Mwanamieleka wa kinigeria,Shelton leo amehudhuria ibada katika kanisa la Scoan au Synagogue Church of All Nations lililoko Lagos Nigeria,linaloongozwa na Nabii T B JOSHUA....

No comments:

Post a Comment

COMMENT HERE: