Slide

Wednesday, January 26, 2011

Mchekeshaji Jim Carey ajiopelea Msichana wa Kihindi.......

Mchekeshaji wa kimarekani Jim Carey inasemekana ameamua kujiopolea goma la kihindi,ambaye ni model aitwaye Aanchal Joseph ambaye ana miaka 24 nusu ya miaka ya Jim.
Aanchal alizaliwa India,Delhi na alipokuwa na umri wa miaka 6 alihamia nchini USA na wazazi wake.Na pia alikuwa ni mshiriki katika show ambayo ni maarufu sana ya ‘America’s Next Top Model’ in 2007.

Jim Carrey.1 Jim Carreys dating Indian model


 

No comments:

Post a Comment

COMMENT HERE: