Slide

Wednesday, March 30, 2011

Kim Kardashian na Kris Humphries wamechumbiana????


http://hellobeautiful.com/files/2011/03/Kris-Humphries-and-Kim-Kardashian.jpg

Kuna minong'ono ya hapa na pale kuwa wapenzi hawa wawili wameshavalishana pete ya uchumba, Kris ni mchezaji wa kikapu katika ligi ya maarufu nchini marekani NBA,minong'ono hiyo ilianza pale ambapo wapambe waliona msg kwenye ukurasa wa Kim kwenye tweeter msg iliyokuwa ikisema “I am so happy my future husband just surprised me!”Kama ni kweli itakuwa ndoto za mwanadada Kim za kupata mtoto anayefanana na Kris zitakuwa zimetimia.
Kama ni kweli kila la kheri Kim.
Chini picha za wapenzi hao wawili.










No comments:

Post a Comment

COMMENT HERE: