Slide

Monday, April 11, 2011

Makamuzi ya mwanadada Miriam Lukindo jana.

UZINDUZI wa albamu ya video ya ‘Ni Asubuhi’ ya mwanamuziki nyota wa Injili, Miriam Lukindo, akishirikiana na Haak Neel Production, uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wikiendi hii, ulifana kwa hali ya juu baada ya kuvutia mamia ya mashabiki.
Uzinduzi huo uliowakutanisha waimbaji maarufu wa Injili wakiwemo Upendo Nkone, Maron Shako kutoka Kenya na Martha Mwaipaja na kwaya mbalimbali maarufu nchini, uliwafanya watu waliohudhuria katika hafla hiyo kuacha viti vyao na kujikuta wakiimba na kuserebuka kwa pamoja na waimbaji hao.

Miriam &Marion Shako kwa pamoja


Miriam akiwajibika na shabiki ukumbini

Upendo Nkone akiwa ulingoni.

Upendo Nkone Ndani Ya Nyumba

Kitu .......Huwezi amini  Sura ya Kazi

Ikafika wakati wa wadau kuserebuka sasa!!!
Papaa na Luvanda na Rwegasila wakiongoza Steps
Full Kujiachia

Full "Kwaito"


Mwanadada Martha Mwaipaja naye alikuwepo kuwakilisha


2 comments:

  1. Praise God,Nilikuwepo Lyna ulikosa mambo yalikuwa bab kubwa dada Miriam alitupa mitindo ya kisauzi weee ilikuwa ni kali tulibarikiwa sana tulicheza mpaka bac.Ntakutumia mkanda.

    Christine.

    ReplyDelete
  2. Christine my dear kwanza nimekumic kweli call me when u have time.Nitummie cd bac nasikia ilikuwa kiboko kweli nimekosa kweli.

    ReplyDelete

COMMENT HERE: