Slide

Friday, November 27, 2009

MWANIONAJE????



Siko nyuma kabisa katika kufungua champagne hapa ni katika harusi ya moja ya wadau wa blog hii iliyofanyika katika ukumbi wa NEXT DOOR

6 comments:

  1. Kwakweli hii picha Ronelly ni kiboko,za State mpenzi yaani sijakuona siku nyingi...nimependa blog yako my dear.Lini utakuja siku hizi nimeolewa niko Masaki....horiaaaaa!


    Suzy

    ReplyDelete
  2. Picha ni kali shosti...tupe mabo ya state basi hahaaaaa,hongera kwa blog mpenzi.


    Dina M.

    ReplyDelete
  3. Mwakeeeeee!sema nataka hicho cha usoni namba yangu ni 0713 834153 nitwangie

    Mama Judy

    ReplyDelete
  4. Suzy mpenzi niko sweden sasa ila mambo poa kabisa...mith u wewe sana,Hongera nasikia una mtoto watajibeba mwaka huu...

    ReplyDelete
  5. Dina mambo nik Swden ,Stockholm ahsante sana.

    ReplyDelete
  6. Shikamoo mama Judy cha usoni ntakutumia kwa msg kanuni tu hamna shida,nimechelewa kujibu nilikuwa busy na shule na mihangaiko ya dunia.

    ReplyDelete

COMMENT HERE: