- Viatu hivi ni maalum kwa harusi,viatu vya harusi mara nyingi vyafaa viwe vyeupe.
- Chagua kiatu ambacho kinakutosha sawasawa, na kiatu ambacho hakitakuchosha hasa kwa mabibi harusi.Maana ukivaa kiatu kirefu utachoka haraka na utakosa raha katika siku hii muhimu kwako..
- Waweza kuchagua design yeyote ya kiatu kutokana na upendeleo wako ila tu kiwe kwenye style haijalishi ni kirefu au kifupi itatokana na uchaguzi wa mtu mwenyewe.
- Mara sherehe itakapoisha hifadhi kwenye mfuko maalum ambao hautaingiza joto ili kuvilinda na kuharibika au unaweza ukahifadhi mahali pasipo na vumbi au joto kali.
Slide
Friday, November 27, 2009
WEDDING SHOES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mambo mdada?kwa kweli hapa umenisaidia sana maana napata tabu kutunza viatu vyangu,nikikwambia viatu vyangu vya harusi havina muda mrefu vimeharibika hivyoooo.
ReplyDeleteNtakupataje ili unipe ushauri zaidi
Mama Chriss
Nahukuru kusikia kuwa nimekusaidia nafarijika sana,mie utanipata kama utapiga namba niliyotoa hapa,hapo utanipata tu...
ReplyDelete