Slide

Sunday, December 5, 2010

Au ndio msemo wa kusema sheria zimewekwa ili zivunjwe???

Click for Full Image Size
Jamani kama wanaotunza sheria zenyewe wanazivunja je wengine ambao sio itakuwaje????hebu angalia polisi hawa wakiwa wametuliza kwenye tukutuku hii lakini afanye mwingine hivi mbona cha moto utakiona sasa kweli hapa sheria inafwatwa au inavunjwa???halafu wote wako na furaha makubwaaa!!!

No comments:

Post a Comment

COMMENT HERE: