Slide

Sunday, December 5, 2010

Nollywood Actresses Now Roll In Hummer Jeep.....




Hii ndiyo Hummer ya Tonto Dike
Tonko Dike mcheza filamu wa Nigeria ambaye anatingisha hivi sasa,ukiwataja wacheza filamu hatari wa kike basi naye lazima atabamba ni huyu na hivi sasa inasemekana kuwa ni mmoja kati ya wacheza filamu wenye mapato makubwa mpaka ameamua kujinyakulia mkoko aina ya Hummer H2 Jeep,Hongera !!!!!Na wa oh!!

No comments:

Post a Comment

COMMENT HERE: