Slide

Sunday, December 5, 2010

Prince William&Kate.

prince william and kate middleton
Prince  William ataagana na ukapera kwa kufunga ndoa na kipenzi chake Kate June 30 2012 siku ya Birthday yake na kabla ya Olympic huko London,tukio hili kubwa la kifalme litatokea wakati ambapo watu kutoka mataifa mbalimbali watakuwa nchini Uingereza kwa ajili ya Olympic.Kila raheli zao.


No comments:

Post a Comment

COMMENT HERE: