Slide
Monday, November 30, 2009
JE MARIAH CAREY NI MJAMZITO?
Maria Carey na mumewe Nick Canon,kuna tetesi kuwa Mariah ni mjamzito lakini ukweli ni wa wawili hao...mie sijui wenzangu mmh.....
Saturday, November 28, 2009
Friday, November 27, 2009
TIGER WOODS IN A CAR CRASH
- Mcheza golf namba moja duniani TIGER WOODS kutoka nchini Marekani,leo amepata ajali ya gari katika community ya ISLEWORTH karibu kabisa na nyumbani kwake katika mji wa WINDERMERE,FLORIDA aligonga mti, alikimbizwa hospital lakini kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mayor wa WINDERMERE, Tiger mwenye miaka 33 ameruhusiwa kurudi nyumbani,WE ARE PRAYING FOR QUICK RECOVER FOR HIM.....POLE.
WEDDING SHOES
- Viatu hivi ni maalum kwa harusi,viatu vya harusi mara nyingi vyafaa viwe vyeupe.
- Chagua kiatu ambacho kinakutosha sawasawa, na kiatu ambacho hakitakuchosha hasa kwa mabibi harusi.Maana ukivaa kiatu kirefu utachoka haraka na utakosa raha katika siku hii muhimu kwako..
- Waweza kuchagua design yeyote ya kiatu kutokana na upendeleo wako ila tu kiwe kwenye style haijalishi ni kirefu au kifupi itatokana na uchaguzi wa mtu mwenyewe.
- Mara sherehe itakapoisha hifadhi kwenye mfuko maalum ambao hautaingiza joto ili kuvilinda na kuharibika au unaweza ukahifadhi mahali pasipo na vumbi au joto kali.
MWANIONAJE????
Siko nyuma kabisa katika kufungua champagne hapa ni katika harusi ya moja ya wadau wa blog hii iliyofanyika katika ukumbi wa NEXT DOOR
ANNOUNCEMENT
- SALON KUBWA YA KIKE NA KIUME YA THE BEST OF U FASHION KARIBU ITAFUNGULIWA IKIWA TAYARI NITAWAJUZA KILA KITU KUHUSIANA NA SALON HII,ITAKUWA WAPI NA KILA KITU VYOTE NITAWAJULISHA.....WAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA SIMU 0712-950432.
Thursday, November 26, 2009
KILEMBA
- Huu ndio ufungaji bora wa kilemba wala hakining'ini nyuma wala mbele wafunga vilemba mpo hapo???,mmeonaaaa
PAKANJAA,PAKANJAA.
Kucheza ni muhimu kwa kila mtu hebu angalia wadau wakionyeshana ujuzi wa aina yake,kila mtu hakuwa nyuma kumwonyesha mwenzie ni kiasi gani amefuzu....
Subscribe to:
Posts (Atom)