Lyna:Ahsanteni sana wadau wote kwa kuniunga mkono maana majukumu haya mmmh we acha usome, uandike basi ni ngumu mno ila nawashukuru sana.
Jocy:Tuko pamoja mpenzi usihofu twakujali saana dear!.
Franz:We are together my sis in Law worry not everything will be okay.
Shero:Mdogo wangu kila jambo ni gumu duniani hakuna jambo rahisi kazana sisi tuko nyuma
yako.
Joan D:Im proud of u,I know u can do anything ur very intelligent,u i like to work hard u can make it my dear....
Ronellyna:Thank u very much all for ur support......
Slide
Wednesday, December 2, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)