MWANAMUZIKI wa muziki wa Injili Miriam Lukindo, akizungumza na waandishi wa habari, katika mgahawa wa Hardees mjini Dar es Salaam, kutangaza uzinduzi wa video yake ya kwanza, ya Asubuhi, Aprili 10, mwaka huu, katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Kushoto ni Meneja wa Haak Neel Production (T) Ltd, John Momandi na kulia ni Meneja wa msanii huyo, Humphrey Maziba. --------------------------------- |
Slide
Tuesday, March 29, 2011
MWANADADA MIRIAM LUKINDO KUZINDUA VIDEO MPYA; 'NI ASUBUHI'
Purple Wedding....
Kama unaplan ya kutumia rangi ya zambarau kwenye sherehe yako basi hujafanya uamuzi mbaya,mimi pia hupendelea rangi hii.
Purple Wedding Cakes:
|
Subscribe to:
Posts (Atom)