Slide

Thursday, April 14, 2011

Lift Me Higher - Christian song


Ninapokuwa nina mawazo mengi yanayotokana namatatizo ya  dunia hii, hupenda kutulia chumbani kwangu nikimtafakari Mungu na kusikiliza wimbo huu,hunifariji sana.Najua ipo siku ntafurahia Lift me higher my Lord.

Dr.Morris Cerullo in Stockholm....

Hakuna kitu kizuri hapa duniani kama kurudisha sifa na utukufu kwa aliyetuumba,jumatano hii nilipata fursa na mie ya kwenda kusikiliza neno la Mungu lililokuwa linahubiriwa na mtumishi wa Mungu Nabii Morris Cerullo kutoka U.S.A,katika kanisa la Sรถdermalm katika jiji la Stockholm,Sweden.Kwa kweli kumsifu Mungu kunawapasa wanyofu wa moyo.Nilibarikiwa sana.

  1. Watu wakifwatilia ibada kwa makini.
Worship Team ikifanya vitu vyake.
Mission Statement
Mtumishi wa Mungu Morris Cerullo.


Biography of Dr.Morris Cerullo.