Valentine day ni siku ambayo husheherekewa kote duniani kila ifikapo tarehe 14 Feb,watu husheherekea na wapenzi wao au watu wanaowapenda,watu hubadilishana zawadi mbalimbali pia.Lakini mimi nafikiri watu wasisubiri kuonyesha upendo wao katika sikukuu hii tu bali mapenzi yawepo siku zote....Na kwa wale ambao wako single nawashauri washeherekee siku hii na familia au marafiki wasijione wapweke,nenda dukani jinunulie zawadi nzuri uipendayo nawe usheherekee.Zawadi zinazofaa kwa Valentine:
MAUA
Zawadi hizi ni kati ya zawadi ambazo watu hupeana lakini kuna zawadi nyingi sana kama perfumes nk.pia hufaa kwa siku kama hii.
Nawatakii Valentine njema wooote!!!!
|