Slide

Thursday, April 7, 2011

Wazo la leo tu jamani!!!!!

thought for today




KIcheko ni dawa.



Jamani kwa wale wasiopenda kucheka leo nataka niwaambie kuwa kicheko ni dawa ya kurefusha maisha mtu asikudanganye,Kama mwanadamu kamili lazima uwe na furaha ingawa si wakati wote lakini kuma watu humu duniani huwa hata hawatabasamu na ni rahisi ngozi ya uso kukunjamana .Pia ukiwa na furaha na kicheko utaweza kuwasaidia wale wa karibu yako ambao huwa hawana furaha.



Be Happy and Help Other Be Happy, Smile!





Mercedes Terrell Smiling






Picture of two women smiling