Slide

Saturday, May 28, 2011

MISS UNIVERSE 2011 NI NELLY KAMWELU

Nelly Kamwelu ndiye Miss Universe 2011,na  ataliwakilisha taifa la Tanzania Sao Paulo nchini Brazil katika mashindano ya Miss Universe ya dunia.





Hotel yalipofanyika mashindano ya Miss universe 2011,Golden Tulip Dar