Slide

Monday, April 11, 2011

Makamuzi ya mwanadada Miriam Lukindo jana.

UZINDUZI wa albamu ya video ya ‘Ni Asubuhi’ ya mwanamuziki nyota wa Injili, Miriam Lukindo, akishirikiana na Haak Neel Production, uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wikiendi hii, ulifana kwa hali ya juu baada ya kuvutia mamia ya mashabiki.
Uzinduzi huo uliowakutanisha waimbaji maarufu wa Injili wakiwemo Upendo Nkone, Maron Shako kutoka Kenya na Martha Mwaipaja na kwaya mbalimbali maarufu nchini, uliwafanya watu waliohudhuria katika hafla hiyo kuacha viti vyao na kujikuta wakiimba na kuserebuka kwa pamoja na waimbaji hao.

Miriam &Marion Shako kwa pamoja


Miriam akiwajibika na shabiki ukumbini

Upendo Nkone akiwa ulingoni.

Upendo Nkone Ndani Ya Nyumba

Kitu .......Huwezi amini  Sura ya Kazi

Ikafika wakati wa wadau kuserebuka sasa!!!
Papaa na Luvanda na Rwegasila wakiongoza Steps
Full Kujiachia

Full "Kwaito"


Mwanadada Martha Mwaipaja naye alikuwepo kuwakilisha


Sunday, April 10, 2011

Rais Kikwete asambaratisha sekretarieti ya Makamba Dodoma.....


Rais Jakaya Mrisho Kikwete
mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amevunja sekretarieti ya chama hicho inayoongozwa na Katibu Mkuu, Yusuf Makamba, hatua inayoelezwa kufuatiwa na maamuzi mazito zaidi.
Uamuzi huo wa Kikwete umefanyika usiku huu, huku hali ikiendelea kuwa tete mjini Dodoma kunakofanyika vikao vya chama hicho vilivyotanguliwa na sekretarieti na baadae Kamati Kuu.
Kwa mujibu wa habari hizo, Kikwete toka jana ameonekana kuwa mkali na ambaye amekua akitembea na ajenda mkononi huku wasaidizi wake wengine wakiwa hawaelewi undani wa ajenda yake ya mageuzi mazito ndani ya CCM.
??Moto ulianza kuwashwa katika kikao cha Kamati Kuu ambako zile tetesi kwamba kuna mkakati wa kumuondoa Kikwete zilipodhihiri kuwa kweli ilipoibuka ndani ya Kamati Kuu hoja ya “kutenganisha kofia za Urais na Uenyekiti”
Taarifa ambazo ziliifikia mtandao wa Jamiiforums.com zilieleza kwamba Kikwete alipoona hoja hiyo imetajwa ndipo alipobaini kuwa “sasa mafisadi wamepania kumng’oa”.
Katika kamati kuu hoja ilikua ni nini kifanyike kuwadhibiti watuhumiwa wa ufisadi na pia kuhusu hatima ya Makamba.
Imeelezwa kwamba mjadala wa vikao vya Dodoma utazingatia  hotuba ya Kikwete katika sherehe za CCM Februari 5, 2011.
Katika hotuba hiyo Kikwete alisema;
“Hatuwezi kuacha jukumu la kugharamia uendeshaji wa Chama chetu mikononi mwa wafadhili matajiri.  Tunahatarisha uhuru wa Chama chetu.
“Chama cha Mapinduzi kiige tabia ya nyoka ya kila baada ya muda fulani hujivua gamba lake na kupata jipya.
“Hatuna budi kufanya hivyo na kufanya hivyo sasa.  Wakati wa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa vya tathmini tutalijadili pia suala zima la mageuzi katika Chama.
“Nitapenda tuelewane juu ya namna tutakavyotekeleza agenda hii muhimu kwa uhai na maendeleo ya Chama chetu.  Hili ndugu zangu haliepukiki.
“Lazima tukihuishe ili kukiongezea mvuto mbele ya watu.  Tuutazame muundo wetu kama unakidhi haja.
“Tuwatazame viongozi watendaji kama wanakidhi haja na kama siyo mzigo unaokipaka matope Chama chetu.  Wale tunaoweza kuachana nao sasa tuachane nao kwa maslahi mapana ya Chama chetu.”

President Jakaya Kikwete

President Jakaya Kikwete
**Mambo yameanza kuiva  baba safisha wooote**


Saturday, April 9, 2011

Cindy wa Blu*3 ni mjamzito!!!!


Ugandan singer Cinderella Sanyu aka Cindy is said to be expecting her first child with her on and off Italian fiancé Mario Brunettes. The former Blu3 singer joins her bandmates who have all given birth. Lillian Mbabazi, Edith Baganda aka Mya have all delivered and are now babysitting.


The singer who posted her photo in the internet is five months pregnant. She has also clarified on the paternity of her unborn baby. It had been speculated that she was expecting a baby with Good Lyfs' Radio Moze who also happens to be her former bandmate Lillian's baby daddy. "I'm engaged to Mario Brunettes. He's the father of my unborn child," she revealed during the Exposed Live Show aired on NTV Uganda. The two had earlier publicly declared their breakup after dating for over three years before getting back together recently. Cindy has previously said that she had a crash on rapper Navio.
Congrats Cindy!!!!



Cindy and Mario
Cindy &Mario

      









Thursday, April 7, 2011

Wazo la leo tu jamani!!!!!

thought for today




KIcheko ni dawa.



Jamani kwa wale wasiopenda kucheka leo nataka niwaambie kuwa kicheko ni dawa ya kurefusha maisha mtu asikudanganye,Kama mwanadamu kamili lazima uwe na furaha ingawa si wakati wote lakini kuma watu humu duniani huwa hata hawatabasamu na ni rahisi ngozi ya uso kukunjamana .Pia ukiwa na furaha na kicheko utaweza kuwasaidia wale wa karibu yako ambao huwa hawana furaha.



Be Happy and Help Other Be Happy, Smile!





Mercedes Terrell Smiling






Picture of two women smiling

Sunday, April 3, 2011

Happy Mother’s Day

I LUV U MUM!!!


20050508.MothersDay 300x225 Mother’s Day Quotes: Appreciating Mothers Legacy

The Malls of Africa

Wednesday, March 30, 2011

Mitindo mbalimbali ya nguo za kiafrica ........


This breathtaking fitted and sleeveless voile lace gown

has a sweatheart shaped neckline and fishtail in back. Zipper in the back. Fully lined. The lace is adorned with beautiful flowers and crystals. Lace over satin. Lined. Head piece sold seperate. Made in USA. A TeKay Designs exclusive. All sales final. Order now.
Bibi harusi                                                                



TeKay Designs & Culturally Yours African Fashions


TeKay Designs Spring 2011 Collection



 
 
Breathtaking bridal and formal attire for man and woman. FOR WOMAN: This breathtaking fitted and sleeveless voile lace gown has a sweatheart shaped neckline and fishtail in back. Zipper in the back. Fully lined. The lace is adorned with beautiful flowers and crystals. Lace over satin. Lined. Head piece sold seperate. FOR MAN: The man's lace outfit has agbada (gown), dashiki (shirt), trousers and hat. The voile lace agbada has white and silver embroidery in front of the man's agbada and shirt. Made in USA. A TeKay Designs exclusive. All sales final. Order now.
Bwana na Bibi Harusi
 
 
 

Kim Kardashian na Kris Humphries wamechumbiana????


http://hellobeautiful.com/files/2011/03/Kris-Humphries-and-Kim-Kardashian.jpg

Kuna minong'ono ya hapa na pale kuwa wapenzi hawa wawili wameshavalishana pete ya uchumba, Kris ni mchezaji wa kikapu katika ligi ya maarufu nchini marekani NBA,minong'ono hiyo ilianza pale ambapo wapambe waliona msg kwenye ukurasa wa Kim kwenye tweeter msg iliyokuwa ikisema “I am so happy my future husband just surprised me!”Kama ni kweli itakuwa ndoto za mwanadada Kim za kupata mtoto anayefanana na Kris zitakuwa zimetimia.
Kama ni kweli kila la kheri Kim.
Chini picha za wapenzi hao wawili.










Tuesday, March 29, 2011

MWANADADA MIRIAM LUKINDO KUZINDUA VIDEO MPYA; 'NI ASUBUHI'


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiy8lLwBbw1Man9BUegjaNSoxMGqhZ_K4ybNlNm_UlX11PlZfhxwN51jJ4Tcqs_0xhtDkwBjYIDBXWHggufzxgSuqZUd9O8l2_prB87D8G0YtJtqL_KHmIID5kGCFhiccknm24TPLx5hj8/s1600/BANNER.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRtTY33a8CQ6f0E6JarPSSKEb3adsljEVZ3_n_IIN4ndxIZq7XuLtrERNdj93iqoKFUU5aDGjHcx0eheWEOdBHI1rrYb4m6np0n1qbgxZJQ_GYl1uJ4Nw10NGP4CK0nNT-qi6uAWH9nwo/s1600/lukindo+2.JPG
MWANAMUZIKI wa muziki wa Injili Miriam Lukindo, akizungumza na waandishi wa habari, katika mgahawa wa Hardees mjini Dar es Salaam,  kutangaza uzinduzi wa video yake ya kwanza, ya Asubuhi, Aprili 10, mwaka huu, katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Kushoto ni Meneja wa  Haak Neel Production (T) Ltd, John Momandi na kulia ni Meneja wa msanii huyo, Humphrey Maziba.
---------------------------------

Purple Wedding .....



Purple Wrapped Chocolate Wedding Table Favors


medium version

medium version

medium version
small version
medium version

















medium version

 

 Lavender and Purple Wedding- Here's a shot of the dance floor from a guest table. The bride had a very dark purple and a lavendar color scheme.

fall wedding decorations

 

Purple, Gold And Yellow Color Combination Idea Wedding Decoration
Flowers, Reception, White, Centerpiece, Ceremony, Purple, Black, Yellow, Inspiration, Board, Silver, Lily, Superior events





















Purple Wedding....



Kama unaplan ya kutumia rangi ya zambarau kwenye sherehe yako basi hujafanya uamuzi mbaya,mimi pia hupendelea rangi hii.

Purple Wedding Cakes:



medium version

medium version

Purple hydrangeas topped the white buttercream cake, which had a black scroll design and pearl accents.
Flowers, Cake, Purple, Purple cake

Cake, Pink, Red, Purple, Roses, Orchids, Flourish