Jamani nashukuru Mungu kwa kunipa nafasi nyingine tena hapa duniani ya kuishi 15 mwezi 4 ni siku ambayo mimi nilizaliwa na ninamshukuru Mungu kwa kunipa wazazi wazuri ambao wamenielea mpaka nimefika hapa nilipo,ahsanteni wadau wangu woooote mlionitumia salamu za birthday picha za party ilivyokua nitaziweka zikiwa tayari.Nawapenda wadau wangu.
| ||||
|
Happy Birthday Lynah
ReplyDelete